Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210419-WA0003.jpg
 
kinachafanya mhudumu akutie jicho la huruma ni gharama ya lodging ukute umelipa chumba 50,halafu dakika 8 anaona mrupo unaondoka zake inabidi uzuge room weeee kwa aibu,madem short time ni killers mpk unaanza waza kwa nini nisingeinywea bia tu,

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Kama unajijua uko wa hivyo usilianzishe, piga stori kwanza dk 15 kwanza, kisha bao dk 8 halafu stori za kuzuga dk 15 hatimaye muondoke....hehehe
 
Back
Top Bottom