Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,867
- 19,646
Huyo ni mtu mmoja Kala hapo?Uswazini kisingebaki kitu hapa.View attachment 1751936View attachment 1751937
Huyo ni mtu mmoja Kala hapo?Uswazini kisingebaki kitu hapa.View attachment 1751936View attachment 1751937
NgongingoHivi hayo ni majani au mpunga?View attachment 1751909
Ukiwa na chololoo kubwa ndo wadada wanakupenda na kukuheshimuEeeh, wanawake mna shida nyie[emoji849]
Maana kwamba muhogo, hogo la jang'ombe ndo habari yake!!?[emoji849][emoji849]
Mbona kamenyu kadogo tuu hako.Huyo ni mtu mmoja Kala hapo?
Nipo huku nilitaka nije nikadhani baada ya nyoka kuuma watu wako ulifunga. Next week nasepa mzee anarudi toka kambini kwao Ibrahim alipoenda papa tunaenda kijijini kwenye tambiko.Uko huku au makao?
Mtaka cha uvunguni sharti uinameUjanja wa Wachina. Wanakufanyia vituko ukija kushtuka ushapigwa. Ona wanavyomfanyia huyu mwamba wa Sudan ya Kusini. Kisa mafuta [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1752037
Aseeee,Ukiwa na chololoo kubwa ndo wadada wanakupenda na kukuheshimu
Mkuu usitubabaishe.[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hayo ni majani au mpunga?View attachment 1751909
Wachina wametumwa nini? Hela.Kwenye kusaini mkataba sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1752039
[emoji23][emoji23][emoji23]
Anasakwa panya hapo
Hahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kuangalia YAI linavyoliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
View attachment 1752094
Hahahahaha, atakuwa amekudharau sana asee[emoji849][emoji849][emoji849]
Kwahiyo yai lilivyoona hogo na lenyewe likaona lionje muhogo au...Funguka basi[emoji23][emoji23][emoji23]Yule dada na binti ndio tatizo, sio wanawake wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzazi wa Nchimbi