Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Tuko kwenye mada ya vituko mitandaoni, nadhani ndio maana pia ukapost huku ,hivyo hata reply zake zina mrengo huo
Mpaka nakaribia kuchoka kuwatetea sasa. Bagosha [emoji51][emoji51][emoji51]Yaani wasukuma tuna taabu Sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi sina wasiwasi na Mtaka wetu. Sana sana atapandishwa cheo. Alisimamia haki sana na hakuwa na mbwembwe hizi zingine za walewa madaraka...Mkoa gan tenaView attachment 1745529
Last borns mtuwache [emoji16][emoji16]
Huyu bonge naye kwa mipasho. Utafikiri Mzaramo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kama uko Nyaishozi vileNimependa hivyo yanavyotoka[emoji23]
Anajaribu kujiweka active mitandaon ili asisahaulike 25 mbali sanaHuyu bonge naye kwa mipasho. Utafikiri Mzaramo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]