Not to that extent my friend. Aliyetengeneza hili bango keshakamatwa.
Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, historia na utamaduni watu. Kwa mantiki hiyo demokrasia lazima iwe na mipaka. Hata nyumbani kwako naamini ndivyo ilivyo vinginevyo itakuwa hovyo tu !!!
View attachment 1745889