Nini kinaendelea hapa mkuu? Ni arson au ilitakiwa kuwa controlled burn ikawagomea?
Ni kituko tu fulani jamaa alitaka kubanika kuku moto ukawa mkubwa Kama vileee hdi chopa ikaja saidia kuzimaNini kinaendelea hapa mkuu? Ni arson au ilitakiwa kuwa controlled burn ikawagomea?




si mchezo kwa huu muandiko. hongera kwake mwalimuThis was the handwriting