Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,383
- 11,535
Kwani Bashiru, kimemkuta nini?
duh jamaa alicheza rafu sana za kichinichini ndani ya chama, haswa alipogawa lile begi kuwa ni la mgombea wa Dola, ikaja chinjachinja ya majina ya kubebwa na wengi kutoka Chama pinzani kukamata dola na kuwaacha wapiganaji asilia wa Chama
rukia16 njoo uone mwenzio huku wa kushambulia Wasukuma. Wote nitawakaba tu mpaka mkome [emoji16][emoji16][emoji16]