minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,948
Hahaaa au ujiue uache kuteseka
🤣🤣🤣Mgonjwa ghali zaidi Tanzania
Hii hii stamico auMashirika mengine ni bure kabisa.View attachment 1737904
Yaani hapa nafumua board nzimaMashirika mengine ni bure kabisa.View attachment 1737904
Wa kishua umesoma intenesheno sikuli halafu abrodi wewe acha kuzuga hapaView attachment 1737898ukweli mtupuu na shule zetu wengine za mwalimu nyerere







Hii ni kweli mkuu au imeeditiwa. Mpaka nione hilo gazeti na kulishika ndo nitaamini dah !!!Mashirika mengine ni bure kabisa.View attachment 1737904
😂 😂 😂View attachment 1737898ukweli mtupuu na shule zetu wengine za mwalimu nyerere