curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Yale makubwa tunatumia kama mito ya kulalia, nothing else![emoji91][emoji91][emoji91][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1733815
Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjikaπ€£π€£ utotoni kuna mambo ya kifala sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjika[emoji1787][emoji1787] utotoni kuna mambo ya kifala sana.
mkata masikio..
Vunja chungu. Sijui ukimfanyaje chungu home kinavunjika[emoji1787][emoji1787] utotoni kuna mambo ya kifala sana.
Halafu hii ni avatar ya mtu humu JF sema id yake nimeisahau
Acha umbea!πππHalafu hii ni avatar ya mtu humu JF sema id yake nimeisahau
Usipovaa shati anaingia kwenye kitovu