Kuna ile 5 seconds rule. Kitu kikianguka halafu ukakiokota ndani ya sekunde 5 basi ni halali kukila. Ila nyama hata ikae nusu saa siwezi kuitupa. Ni kuipangusa tu halafu inaelekea mdomoni.