[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1725728
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anategemea TV ya chogo lakini amekutana na flat screen tena model mpya kabisa. Pole zake baharia [emoji1][emoji1][emoji1]
Nmecheka mpk ikabidi kuulizwa nacheka nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]View attachment 1725727
Anaweza zaliwa kuanzia miez sita wanaita njiti
Maandazi peke yake wakati wewe ndiyo kikongwe hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kununulia maandazi hii dah !
Povu la kutoshaPovu [emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1725767
Hahahaha, ati braza mwenye mapembe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1725721
[emoji16][emoji16]wamefanana kabisaMbona kama Mizengo Pinda?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]usijali hautokuwa peke yako!Nimejitahidi sana kujifanya sielewi lakini akili inakataa, inajisemea unawajua hawa maligenderi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyu katisha, hataki kabisa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1725771View attachment 1725772View attachment 1725773
Sitaki shobo na mamilioni yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hukawii kusikia mjomba wako huku kijijini anaumwa mara nyumba ya shangazi yako imeezuliwa na upepo
Mambo gani tena haya yanakuja huku
Inaonekana mgonjwa bado hayupo fiti lakini hawajali kikubwa walikutembelea tu[emoji16][emoji16]Hahahaha, mbona wapo kama hawapo tu[emoji23][emoji23]
Simu zetu inabidi tuzikwe nazo kuliko kuachia mke[emoji1]Nmecheka mpk ikabidi kuulizwa nacheka nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama linaloporomoshwa kule nyumbani kwetu [emoji1][emoji1]Povu la kutosha