Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1615634713995.jpg
 
Nipatie stori hiyo Pliz, mi nikajua photoshop
Hii baiskel ilikuwa inamilikiwa na kijana wa kijerumani umri miaka 19. Wanajeshi wa jeshi la Hitler lilipita kwenye kitongoji alichokuwa anaishi huyu kijana na wazazi wake.

kijana alikuwa anatoka shambani, akashuka kwenye hii baiskel akaifunga kwenye mti na mnyororo akaambatana na jeshi la Hitler kwenda kupigana vita ya pili ya dunia.

Kijana hakurudi nyumbani alifariki vitani, wazazi wake waliamua kuiacha hiyo baiskel kwenye mti kwa ukumbusho wake.

Huo mti ulikuwa mdogo akazidi kukua ukameza mnyororo wa lock baadae baiskel kama unavyoona hapo.
Asante Cash money.

Mkuu Bushmumamy picha za aina hiyo zipo nyingi, kama haupo makini unaweza ukadhani ni photoshop.
Nyumbani kwangu kuna mti ambao niliupanda mi mwenyewe mwaka 2003 na ambao sasa umemeza kipande cha mnyororo ambacho kilifungiwa bembea.
 
Hii baiskel ilikuwa inamilikiwa na kijana wa kijerumani umri miaka 19. Wanajeshi wa jeshi la Hitler lilipita kwenye kitongoji alichokuwa anaishi huyu kijana na wazazi wake.

kijana alikuwa anatoka shambani, akashuka kwenye hii baiskel akaifunga kwenye mti na mnyororo akaambatana na jeshi la Hitler kwenda kupigana vita ya pili ya dunia.

Kijana hakurudi nyumbani alifariki vitani, wazazi wake waliamua kuiacha hiyo baiskel kwenye mti kwa ukumbusho wake.

Huo mti ulikuwa mdogo akazidi kukua ukameza mnyororo wa lock baadae baiskel kama unavyoona hapo.
Hapana sio kweli.

Back
Top Bottom