Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,139
- 6,049
Hivi huyu si Billnas? Tena hapa ni ghetoni kwake alikokuwa anamvua chupi Nandy na kuchezea kale katako chapati kake.....naona ukuta wake na hio godoro. Huyu ni Billnas tu.
Hivi huyu si Billnas? Tena hapa ni ghetoni kwake alikokuwa anamvua chupi Nandy na kuchezea kale katako chapati kake.....naona ukuta wake na hio godoro. Huyu ni Billnas tu.
Hayo wanayoyafanya sio kwasababu ya mapenzi bali ni uyohana, ujiwe au tuseme ni ushamba jumlisha na ulimbukeni
Sikuwahi kuwajua kunguni,kuna siku nilimtembelea mshakiji wangu kijijini..nilienda kulala guest,aisee sikulala kwa wale wadudu
Mhh kama shina za mihogoRasta kama kuni vileView attachment 984449
Huyu kawezaje kuweka pesa kwenye dumu na asiitumie,wakati huku kuna watu wameweka hadi kwenye vibubu cha chuma na bado wanazidokoa
RohombayaHuyu kawezaje kuweka pesa kwenye dumu na asiitumie,wakati huku kuna watu wameweka hadi kwenye vibubu cha chuma na bado wanazidokoa
Sent using Jamii Forums mobile app