Hahahahaha, unaweza kuangua kilio[emoji56]Umewahi kuweka simu charge usiku, ikiwa na asilimia 30 alafu kesho una safari ya mkoa ile unaamka asubuhi unakuta asilimia 3% na swichi imezimwa.
Polee allah akupe subra
Asante sana mkuuPolee allah akupe subra