Kama umewahi kucheki Comedy za Jimmy Carrey. Kuna ile moja "Bruce Almighty" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Unanikumbusha movie ya kihindi Amitabh Bhachchan ni Mungu...
Salman khan analia kila siku kwann Anamuomba Mungu na hajibu maombi yake...
Basi siku Mungu akaamua akutane na Salman Khan...
Kisha akampa muda kidogo wa uwezo wa kusikiliza kila ombi la binadamu na kulijibu...
Salman khan akajibu maombi ya binadamu wote...
Alichokikuta Duniani ni vurugu tupu... Maana kuna majambazi yenyewe yaomba yaibe ila yasikamatwe, kuna watu leo hii wanatamani kuwa wanyama na si binadamu... Kuna mtu anatamani awe na mkeo ama dada yako ila ww hautak...
[emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1719550
Usinambie kuwa huyu ni mwanamke ...Nilikuwa najua ni mwanaumeView attachment 1719574
Si bora utumie sabuni ya kipande tu JamaniiMaisha yamebana sana kitaa, mpaka tunatumia vise kukamua dawa ya meno[emoji23][emoji23]View attachment 1719414
Aaaah haaaaaa
Bado nasubiri kuona mwandiko wa kiume. Unafikiri nimesahau? Muone !Kwanini
Aaaah haaaaaa
Ukiruhusu kutafuna mtu anaweza kutafuna hata robo kilo akitoka hapo ni kwenda kuongezea maji tu kitumbo ndii...Kwanini
Aaaah haaaaaa
Leo na mimi ndio nimejua kuwa huyo ni mwanamke[emoji16]Usinambie kuwa huyu ni mwanamke ...
Samahani sana mkuu, nilijua tu lazima ungetia neno[emoji16]
Mzee anawaza angekuwa chura[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Aisee kama umeona basi[emoji23][emoji23]Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]