Utopolo mwaka huu wanalo. Yaani wakifungwa linakuwa gumzo la nchi nzima. Yaani kufungwa kwao imegeuka kuwa kama burudani fulani hivi. Kwa kweli kama ni kususa wasuse tu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji196][emoji196][emoji196] wametupiwa gundu la kimavi[emoji31][emoji31][emoji31]Utopolo mwaka huu wanalo. Yaani wakifungwa linakuwa gumzo la nchi nzima. Yaani kufungwa kwao imegeuka kuwa kama burudani fulani hivi. Kwa kweli kama ni kususa wasuse tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja niipeleke kule kwenye gifMaisha yetu. Ujanja wote. Hii pampu ya ajabu ikikwama tu, hata kama ni kwa sekunde chache, mbwembwe zetu zote zinakoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1718111
Nakuja huko kuchafua hali ya hewa [emoji16]Ngoja niipeleke kule kwenye gif