Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210219-WA0252.jpg
 
Mzee shikamoo tena!, unajua hatujaonana tangu ile asubuhi
Marahaba aisee. Pole na majukumu. Nasubiria hapa memes za kufa mtu. Kufurahi na kucheka kunaimarisha kinga ya mwili; na kwa hali ya sasa hili ni jambo la muhimu sana. Tusichoke kucheka na kufurahi kwa sababu hatujui yajayo
 
Back
Top Bottom