mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Hivi jamani, tuache utani.....hawa wanaume wa Dar kwanini wasiolewe tu...wanakera mno.
humu muna vituko balaa.
Nilikuwa naumiza kichwa jinsi ya kuandika karatasi hii,asante mzee baba nitaifanyia kazi
Halipwi cash ujueWachora tattoo wana shida mnoView attachment 979551
Duh!! Sasa nimeamini huyo Juma ni shogaWanaume wa dar bana wanaitana 'kipenzi'View attachment 981399