Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,432
Ha aha aaaaa ahaa ahaaa....
Kwakweli na mimi naungana na aliyetoa hoja ya zawadi kwa Numbisa. She's an extra ordinary sense of humour!!
Ha aha aaaaa ahaa ahaaa....
Kufumaniwa noma. Mume wa mtu anataka akumalize. Mkeo naye anataka akupe mkong'oto. Shida tupu yaani....
Binadamu wanafiki sana aisee. Ukiwa hai haters kibao; ukivuta tu misifa kibao...
Sijui ni Usukumani au Mwakaleli wala haijulikani


"Babu yangu kanambia nitafte six car na sio six Park"Hahaha kwa kweli, msipokuwa na hela mnakimbiwa,mkiwa nazo mnagongewa kwa kweli poleni
Hata ulimi na kichwa nadhaniKwani kazi ya k-vant ni kuburudisha macho au naniliu![]()
kanda ya ziwaView attachment 800748
hahaha mzee mahaba yamemkoleaKama wazee wanaandika hivi vijana mnakwama wapi?