Alkasusu inamsumbua
Haaaaa Haaaaa 😂 ulipotea Boss
Ni kweli Boss ila nipo. Hujambo?Haaaaa Haaaaaulipotea Boss
Nipo kama chuma Boss wanguNi kweli Boss ila nipo. Hujambo?
Mkuu umeadimika sana!
Nipo bro. Ila Korona ipo. Tuchukue tahadhariMkuu umeadimika sana!

Nmecheka sanaView attachment 1692083
Pole sana mkuu SYB, majuzi nilipata kumjulia hali mgonjwa mmoja, kiukweli tuendelee kuchukua tahadhari!!Nipo bro. Ila Korona ipo. Tuchukue tahadhari![]()