Hawa jama walotajwa hapo itakuwa ni wale wakiacha pombe tu wanakufa. Inabidi waangalie upya huo uamuzi wa kuwazuia kuuziwa pombe. Vinginevyo wataweka turubali nje muda si mrefu!!