Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Update jfSimu yangu haifungui attachment JF msaada wenu tafadhali![]()
Madaraka yamekoma. Hakuna tena cha Marine One wala Air Force One.
View attachment 1682217
likes na comment kama zote dadeki


inaonekana cynthia ni fundi sio poa jamaa angu!!Pamoja na hivyo wala hahitaji hiyo Air Force one,, yupo njema tubado atapanda Air force one mpaka kufa kwake na atapewa security, hatokuwa na madaraka tu