Haaaaa Haaaaa 😂 jamani kweli kabisa
Upo juu mzeeMaskini gari la watu[emoji27]
hujaelewekaAmeamua kuitumia image ya ban kama avatar tu.
Mod wakikuona tu wanalalambele na wewehujaeleweka
kwahiyo mm ukwaju nikiiweka Image ya BAN nakula BAN wiki, mwezi au napeta km ww
[emoji16][emoji16]
atakuwa kabila gani uyo
Whiskey, tango one man down, do you copy😀
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1673052
Paka baada ya kuvunja vase wamiliki wameamua kumuacha ba shingo ya vase aliyoivaa wakati alipoivunja.