Haya ndo vitu vya Kuhani Noah na shost yake mrangiVituko mtandaoni [emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
View attachment 1662377
Fish π anateswa
Duh! Mie sipo huko siku hizi.. nimetulia na mama la mamaaa... haya ni majaribu sasa π₯²Haya ndo vitu vya Kuhani Noah na shost yake mrangi
Mbona hujalala hadi sasa kijana, nini mbaya?Duh! Mie sipo huko siku hizi.. nimetulia na mama la mamaaa... haya ni majaribu sasa π₯²
Sio rahis hivo kijana, kula vyomboDuh! Mie sipo huko siku hizi.. nimetulia na mama la mamaaa... haya ni majaribu sasa π₯²
Haaaaa hata Kuhani Noah anapendaga usingizi wa hivomm naona cha kwanza ni usingizi
ufanye mapenzi unywe pombe lazima utalala kumalizia furaha
ni maoni yangu lknView attachment 1661983
Hamna mbaya yoyote ndio mda wangu wa kuamka huu boss.. kawaida huwa nakuwa macho kuanzia saa tisa usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi, alafu narudi kulala tena hadi saa mbili au tatu.. baada ya hapo harakati huwa zinaendelea ππMbona hujalala hadi sasa kijana, nini mbaya?
DuhHamna mbaya yoyote ndio mda wangu wa kuamka huu boss.. kawaida huwa nakuwa macho kuanzia saa tisa usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi, alafu narudi kulala tena hadi saa mbili au tatu.. baada ya hapo harakati huwa zinaendelea ππ
Nimekula sana vyombo, hakuna jipya tena.. sasa hivi ni kutulia huku nikisoma nitokaje na huu uchumi mpya.. kila cent sasa hivi ina thamani, ukicheza unarudi kijijiniSio rahis hivo kijana, kula vyombo
Ndio mtindo wangu huo π
Sometimes bora shamba aisee. Kule unalima unavuna, ng'ombe na mbuzi pembeni, kuku kidogo dah basi maisha yanaendaNimekula sana vyombo, hakuna jipya tena.. sasa hivi ni kutulia huku nikisoma nitokaje na huu uchumi mpya.. kila cent sasa hivi ina thamani, ukicheza unarudi kijijini
Penda π mimi πππKaribu basi kesho mwanza tuje kula sato sato
Maisha sasa hivi ni mazuri kama upo shamba.. mjini na shughuli zake imeishakuwa kimeoSometimes bora shamba aisee. Kule unalima unavuna, ng'ombe na mbuzi pembeni, kuku kidogo dah basi maisha yanaenda
Karibu sana.. unakula sato hadi unamwagika jashoPenda π mimi πππ
Mchemsho wa π fish na ndizi mbili, nyanya chungu mbili na karoti moja na pili pili moja πππ utakrai babuKaribu sana.. unakula sato hadi unamwagika jasho
ππ huwa napenda samaki mchemsho wake wanawake na karanga.. huwa nakula hadi nachemka ππ. Hasa The Cask ndio kiwanja changu cha kula samaki .. diamond pa kiswazi sana japo napo samaki wao wapo heavy.. na wanawake vyote hivyo ulivyotaja.. karibu sanaaaMchemsho wa π fish na ndizi mbili, nyanya chungu mbili na karoti moja na pili pili moja πππ utakrai babu
Si uchemshe home babuu au uvivuππ huwa napenda samaki mchemsho wake wanawake na karanga.. huwa nakula hadi nachemka ππ. Hasa The Cask ndio kiwanja changu cha kula samaki .. diamond pa kiswazi sana japo napo samaki wao wapo heavy.. na wanawake vyote hivyo ulivyotaja.. karibu sanaaa