Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli mimi pia sijaelewa ila hisia zinaniambia anayezungumziwa kwenye hiyo barua ni pacha wakoNimecheka au nimekuzomea, kwahi wewe ulielewa mbona hukunyosha kidole ila ukacheka
Hahahaha njoo nikuambieKiukweli mimi pia sijaelewa ila hisia zinaniambia anayezungumziwa kwenye hiyo barua ni pacha wako
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hahahaha njoo nikuambie
Mzee kaka
hata sielewi nimuweke kundi gani!Mzee kaka
Ukisusa wenzio twala
halafu hauna adabu wala hauna hayausingizi jamani sio poaView attachment 964671
Ahahaha TAMISEMI huyu ndio atakuwa analala na mafile sasa.usingizi jamani sio poaView attachment 964671
Wapo kwenye matani,,mzaramo na msukumausingizi jamani sio poaView attachment 964671
hii ndo inaitwa changamoto
Hahaha walah umeniua mbavuWapo kwenye matani,,mzaramo na msukuma