Dah mwanangu nimecheka sana
Yaan ile Shot to kill go another mission
Wazee wa COD tumeelewa vema sana
Nishapita mission nyingi bira kujua nini nafanya yaan shot to kill sometyme unaua mpk partiner wako au campaign yako kwa mapepe na haraka ya kumaliza mission