Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

🌷👉UHARAMU WA KUMUINGILIA MKE KWENYE TUPU YA NYUMA (Sehemu ya haja kubwa).

Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayra Allah amridhie👉Mtume ﷺ amesema👇

”ملعون من أتی امرأة في دبرها.“

“Amelaaniwa yule mwenye kumuingilia mkewe kwenye tupu yake ya nyuma”. (Imamu Ahmad 2/479).

``Na imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ amesema mwenye kumuingilia mwanamke kwenye tupu ya nyuma amekufuru katika yale aiyoteremshiwa Muhammad´´. Tirmidhiy 1/243

👉Baadhi ya watu wasiokua na tabia ya kawaida,dhaifu wa imani huwa hawajizuii na matamanio ya nafsi zao,hatimae huwaingilia wake zao katika tupu ya nyuma.Ifahamike kuwa kitendo hiki ni katika madhambi makubwa na kuwa mtu huyo katika laana.

👉Kuna baadhi ya watu wasiojielewa hutumia aya isemayo kuwa ``Wake zenu ni kama konde zenu (mashamba yenu) basi ziendeeni konde zenu mtakavyo.´´ baqaraa 223.Hutumia aya hii kama ni dalili ya kuruhusu jambo chafu na la haramu,kawaida ya sunna huifasiri qur-ani na kuiweka wazi,ndio maana imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ akieleza kwamba inajuzu kumuingilia mwanamke kwa staili yeyote aipendayo mtu.Ila lengo iwe ni kuipata tupu ya mbele.

Hivyo waislamu ijulikane kuwa kuna madhara yanayopatikana kwa mume na mke ambao wanashiriki tendo hilo,hupelekea kwa mume kuja kupata magonjwa ambayo yatamsababishia kuishi na mpira kama kisaidizi katika sehemu yake ya siri na kwa mke vile vile kutanuka kwa tissue za sehemu za siri za nyuma na kupelekea shida wakati wa kujifungua na hata kupelekea kufa wakati wa kujifungua.

Tuna muomba Allah atupe salama na kuweza kuyaacha hayo.
 
Screenshot_2020-12-12-21-23-40_1.jpg
 
UHARAMU WA KUMUINGILIA MKE KWENYE TUPU YA NYUMA (Sehemu ya haja kubwa).

Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayra Allah amridhieMtume ﷺ amesema

”ملعون من أتی امرأة في دبرها.“

“Amelaaniwa yule mwenye kumuingilia mkewe kwenye tupu yake ya nyuma”.
(Imamu Ahmad 2/479).

``Na imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ amesema mwenye kumuingilia mwanamke kwenye tupu ya nyuma amekufuru katika yale aiyoteremshiwa Muhammad´´.
Tirmidhiy 1/243

Baadhi ya watu wasiokua na tabia ya kawaida,dhaifu wa imani huwa hawajizuii na matamanio ya nafsi zao,hatimae huwaingilia wake zao katika tupu ya nyuma.Ifahamike kuwa kitendo hiki ni katika madhambi makubwa na kuwa mtu huyo katika laana.

Kuna baadhi ya watu wasiojielewa hutumia aya isemayo kuwa ``Wake zenu ni kama konde zenu (mashamba yenu) basi ziendeeni konde zenu mtakavyo.´´ baqaraa 223.Hutumia aya hii kama ni dalili ya kuruhusu jambo chafu na la haramu,kawaida ya sunna huifasiri qur-ani na kuiweka wazi,ndio maana imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ akieleza kwamba inajuzu kumuingilia mwanamke kwa staili yeyote aipendayo mtu.Ila lengo iwe ni kuipata tupu ya mbele.

Asante kwa kutukumbusha. utandawazi umekuja na mengi sana, haya mambo japo yalikuwepo tangu na tangu ila nikama sasa yamekua kwa uwazi sana.

Vijana kwa wazee hawaoni haya tena kuzungumza na kujisifu kwamba nishatafuna kisamvu pale. Mtazamo wangu Picha na video za ngono zinechangia kwa kiwango kikubwa haya mambo kukua zaidi, serikali kama iliweza kutupiga pini kwenye mitandao basi ifikirie kupiga pini hizi web site za ovyo huenda itachangia kupunguza hii kasi.

yote kwa yote ujumbe mzuri ila sio mahali pake hapa. Uku ni vituko tu
 
UHARAMU WA KUMUINGILIA MKE KWENYE TUPU YA NYUMA (Sehemu ya haja kubwa).

Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayra Allah amridhieMtume ﷺ amesema

”ملعون من أتی امرأة في دبرها.“

“Amelaaniwa yule mwenye kumuingilia mkewe kwenye tupu yake ya nyuma”.
(Imamu Ahmad 2/479).

``Na imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ amesema mwenye kumuingilia mwanamke kwenye tupu ya nyuma amekufuru katika yale aiyoteremshiwa Muhammad´´.
Tirmidhiy 1/243

Baadhi ya watu wasiokua na tabia ya kawaida,dhaifu wa imani huwa hawajizuii na matamanio ya nafsi zao,hatimae huwaingilia wake zao katika tupu ya nyuma.Ifahamike kuwa kitendo hiki ni katika madhambi makubwa na kuwa mtu huyo katika laana.

Kuna baadhi ya watu wasiojielewa hutumia aya isemayo kuwa ``Wake zenu ni kama konde zenu (mashamba yenu) basi ziendeeni konde zenu mtakavyo.´´ baqaraa 223.Hutumia aya hii kama ni dalili ya kuruhusu jambo chafu na la haramu,kawaida ya sunna huifasiri qur-ani na kuiweka wazi,ndio maana imepokewa kutoka kwa mtume ﷺ akieleza kwamba inajuzu kumuingilia mwanamke kwa staili yeyote aipendayo mtu.Ila lengo iwe ni kuipata tupu ya mbele.

Hivyo waislamu ijulikane kuwa kuna madhara yanayopatikana kwa mume na mke ambao wanashiriki tendo hilo,hupelekea kwa mume kuja kupata magonjwa ambayo yatamsababishia kuishi na mpira kama kisaidizi katika sehemu yake ya siri na kwa mke vile vile kutanuka kwa tissue za sehemu za siri za nyuma na kupelekea shida wakati wa kujifungua na hata kupelekea kufa wakati wa kujifungua.

Tuna muomba Allah atupe salama na kuweza kuyaacha hayo.
Binaadamu tuna tabia za ajabu sana, tunafanya vile ambavyo M/Mungu ameharamisha na kuacha kufanya vile ambavyo tunakatazwa na wanaadamu wenzetu! M/Mungu amekataza hicho kitu, watu wanafanya. Lakini Tanesco wamekataza tusiguse nyaya zao na watu hawagusi. Ahsante kwa ujumbe wako maridadi kabisa japo tunachekeshana lakini pia kukumbushana ni wajibu!
Allah akulipe ujira mwema kwa ukumbusho wako huu
 
Back
Top Bottom