Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mkuu embu tafuta unitumie
Baharia mwishowe atakamatwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha....mbwa kakosea sana[emoji1]Halafu sasa hii imtokee mbele ya wageni wa heshima au siku ya kusanyiko la watu wa kanisani mf. Wanakwaya wenzake. Aibu yake sipati picha na kama ni Wasabato au Walokole wa kihafidhina anafutwa na membership ya kanisa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utani wa ngumi huu[emoji1787]Ilijengwa dodoma kwa sababu akina ndugai wanapatikana huko
Huyu ni mmoja wa wale walimu walioajiriwa juzi[emoji1787]Hahahaaaaa