Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Hahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?
Hiyo nmepiga picha mimi mwenyewe mkuuHahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?
Haaaaa Haaaaa π nani atakaepigwa ni dada au boifrendi?
Akizubaa mwenyewe huyu huyu ataishia kupigwa. Anaona wivu utafikiri yeye ndiye atamkula dadake. Awaache mabaharia wafanye yao hata kama inaumaHaaaaa Haaaaanani atakaepigwa ni dada au boifrendi?
Halafu siku hizi ndo yamejaa masokoni. Sijui mbegu gani hiziHahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?