Mkuu hii ina protein balaaaMboga zingine bana [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1604525
Kuna haja ya kuanzisha thread ya wahenga humu aseeUmefanya nimecheka. Lol. Hivi wahenga ndo tunabaguana namna hii kweli Shimba. [emoji848]
Haya bana na kwako pia Muhenga mwenzangu. [emoji23][emoji23]
Ipo haja aisee Mkuu.Kuna haja ya kuanzisha thread ya wahenga humu asee
sio nungu nungu uo ni ugonjwa uwatokea sana mbwa wa kizungu
Ha ha ha @machetteMabaharia siyo watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Necha hapendi ujingaasee hii imekaaje boss