Mkuu samahani, nini tafsiri ya kunyoa hivyo?
Naunga mkono hoja
Haha halafu Mshana nakudai ila umejikausha kama haupojinsia pinzani
Haha inbox utanipiga saundi..bora nikudai hapahapaInbox na wewe loh, ntaanzishiwa uzi ujue
Hapo mke wa bwana misitu lazima makalio yaote sugu