Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

:
IMG-20200919-WA0032.jpg
 
ujue hii ni kweli[emoji23] juzi kati nilikuwa home akaja mzee mmoja ananiuliza kama namkumbuka nikasema hapana,akaniambia “umenisahau wakati nilikuja hapa kwenu ukiwa darasa la kwanza”[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom