Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Nadhani alijisikia vibaya akatoka nje,wakawa wanampepea nje pale,kuna dispensary jirani na kanisa,kumpeleka akawa alishafariki.poleee ilikuwaje?
AminOh pole sana. Huyo ana unafuu kwa sababu kafia nyumbani mwa Bwana. Apumzike kwa amani...
...na ndiyo maisha yetu hayo. Yanaweza kukoma wakati wo wote. Tunapaswa kuwa tayari wakati wote japo tuna tabia ya kujisahaulisha sana. Mungu na Atusaidie![]()
Kula uliweMaisha ni mapambano...
View attachment 1568209
Wap iyo tena??Kupendeza kawaida yangu
As usual
Ila ibada yangu ya Leo imegeuka ya majonzi sana kwangu baada ya muumini kukata roho kanisani katikati ya ibada na tumeanza naye ibada asubuhi akiwa mzima wa afya.
Hii picha inajirudia kichwani na bado natafakari Sana.
Imetokea kanisani nilikosali leoWap iyo tena??