Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Never give up
IMG-20200910-WA0101.jpg
 
_Nchini Africa kusini mtoto wa miaka 11 ajiua kama zawadi ya sikuya kuzaliwa kwa mama yake huku akimwachia barua iliyoandikwa leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi kama sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona kama mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako kama ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa._ *Tafadhali akina mama muangalie saaana maneno ya kuwaambia watoto wenu.* ```Maneno yanaumiza saaaaana```
Seriously mtu unapata wapi ujasiri wa kumuambia maneno kama haya mtoto
 
Sijaelewa hii
Hapo picha inaelezea situation ya wana ndoa wawili injinia wa umeme na mhandisi wa barabara ambao inaonesha hawana maelewano mazuri.

Hizo taa za barabarani zimegeukia opposite na barabara kwa hiyo inatupa picha kamili kua hata kitandani hakuna ushirikiano wanalala wakipeana migongo
 
Haaaaa Haaaaa 😂 hapa sitiii neno mie
 
Back
Top Bottom