Acha kabisa, kuna ile hali unarudi nyumban unakuta kila vitu kipo vululu vululu, matoy yamejaa nyumba nzima, kelele, halafu umechoka unatamani uoge upumzike, ukifungua tu mlango ukashuhudia hiyo hali kuna namna unatamani hata kulia maana hapo shoo shoo mpaka junior alale😁😁