Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 3600137
cocastic hii meme maneno yako😁😁,kama umesema weye vile😁😁😁
Nimechekaaa mlongoo, juzi kuna sehemu tumekaa sasa nikawa naongea na cm, si yakaanza kunitokaaa mineno.
Waja waliokaa hapo hoi, wanauliza hayo maneno unayatoa wapii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
M1 kadakiaa, yaan huyu akiwa anakusema inabidi utulie ushike maneno anayokupa, nawee ukampe mwingine atakae kuchokoza.
Nilichekaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😁😁😁😁,nacheka,,,nakusemea mineno ya coca hii🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…