Dr. Mariposa bango lako naweka pale clock-tower, posta, na kigamboni pale ukishuka kwenye pantoni kunakuwagq na bango kubwaaaa... utakaa pale mamsapu
Hahahahaha uweke na namba zangu za simu basi😂Dr. Mariposa bango lako naweka pale clock-tower, posta, na kigamboni pale ukishuka kwenye pantoni kunakuwagq na bango kubwaaaa... utakaa pale mamsapu
Hilo suala litakuwa gumu.. mwaka huu kila mtu lazima ajue wewe ndio mmiliki wa nusu ya moyo wangu 😍🥰🥰, we ndio tabibu wa huu ubongo, tulizo la nafsi yangu.Hahahahaha uweke na namba zangu za simu basi😂