Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,427
- 857,719
- Thread starter
- #241,121
35K views · 762 reactions | Ukweli usiopingika: Jicho la Mbuni ni kubwa kuliko Ubongo wake. Kipaumbele chake porini ni kuona mbali (Security), sio kufanya hesabu (Maths). Ndio maana muda mwingine anakimbia na kugonga miti! 🌳🤣 Je, unadhani binadamu tu
Ukweli usiopingika: Jicho la Mbuni ni kubwa kuliko Ubongo wake. Kipaumbele chake porini ni kuona mbali (Security), sio kufanya hesabu (Maths). Ndio maana muda mwingine anakimbia na kugonga miti! 🌳🤣...