🛑 TAHADHARI JAMANI! 🤭🤣
Mwanamke mmoja amelazwa hospitalini baada ya kutumia kipande cha muhogo kilichochongwa kama kifaa cha kujifurahisha. 😳
Kwa mujibu wa taarifa iliyosambaa mitandaoni, mwanamke huyo alianza kwa kukifunika muhogo huo kwa kondomu lakini baadaye akaamua kuiondoa. Cha kusikitisha, muhogo ulivunjika na sehemu yake ikabaki ndani ya mwili wake, jambo lililosababisha maumivu makali hadi kulazimika kukimbizwa hospitali. 🏥
👉 Jamani, sio kila kitu kilicho na umbo fulani kinafaa kutumika kwa starehe ya mwili! Muhogo ni wa jikoni, si wa chumbani usipite bila ambia pole 😭😭😭😭😭😭
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.