Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

pisikali
GYSpuLlWQAE0euP.jpeg
 
Siku hizi naona kama 🥒 zitakuwa zikiuzwa
Zikiwa zimekatakatwa 🤔🤔🤣🤣🤣🤣
1753631117560.jpg
 
Siku hizi naona kama 🥒 zitakuwa zikiuzwa
Zikiwa zimekatakatwa 🤔🤔🤣🤣🤣🤣View attachment 3420801


1. Acheni roho mbaya, tango ni sehemu ya kachumbari na shurti likakatwe jikoni sio sokoni...😅😅😅

2. Punguzeni wivu, ile nyama haina mbadala...😋😋😋
Linapunguza machungu ya nyie mnavyo chovyachovya michuzi kwenye kila kibakuli...😅😅

3. Walau mnakuwa salama na magonjwa mtambuka aka magonjwa nyetegezi...😁😁.

4. Mkulima ataingia hasara, tango lililokatwa linaharibika haraka...😄😄😄.
 
Back
Top Bottom