Uchumi ni mgumu sana Legend 🤣🤣🤣Hahahaha😂😂😂
Tupo mwaya, mie hapa,,,,soon nitakuwepo Hadi mtanichoka😁Memba mko wapi.
Shimba ya Buyenze mzabzab mawardat Midekoo Kasie Black Sniper King Kong III @FFoxhound pendaeli na wengine mje kwenye uzi pendwa tudadavue
Nilileta unishonee nguva😁
Haya mabaisKel ni mabovu😁, Yana pasuka hizo taili paaaaah nimeshuhudia zaidi ya 2
Nitavaa kigodoro😁,. Au wataka nishonea zembwela😁Shepu unalo?😂