Karibu tena mjukuu. Nafurahi kukuona jukwaani baada ya kupotea sana. Natumaini kila kitu kiko salama 🙏🏿Wasukuma hawawezi elewa hii🏃
Upo mrembo

Asante Babu,me Niko poa, naomba ugali.Karibu tena mjukuu. Nafurahi kukuona jukwaani baada ya kupotea sana. Natumaini kila kitu kiko salama 🙏🏿
Ugali upo. Njoo tu hapa Misungwi utakula na kusaza. Nimefurahi sana kukuona jukwaani mjukuu 🙏🏿Asante Babu,me Niko poa, naomba ugali.
Ona hii kenge nayo. Baada ya kupotea zaidi ya mwaka leo ndo imeonekana. Mungu ni mwema dah!Upo mrembo![]()
Hadi Nije misungi mwaka huu.
Karibu sana mjukuu. Mi na dadako Halima tunakusubiri 🙏🏿Hadi Nije misungi mwaka huu.