Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Unatoaga wapi huu upuuzi unaoendana na ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo mgumuView attachment 1552778
Unatoaga wapi huu upuuzi unaoendana na ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo mgumuView attachment 1552778
aah hakuna mwalimu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa, inaboaHii challenge ya kutana na ..... Haichekeshi hata
Nimetaka kuandika kitu ila keyboard imegoma😂😂😂😂😂😂
Ila mkuu mie nadiriki kusema mpaka hali hii kuna uzembe pahala flaniHydrocephalus. Hakuna upendo kama wa mama hapa duniani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1552574
CHAUMA ✓[emoji16][emoji16]View attachment 1553100
Yawezekana. Ila Hydrocephalus inaweza kumpata ye yote japo ni kawaida kwa watoto na wazee 60+ yrs.Ila mkuu mie nadiriki kusema mpaka hali hii kuna uzembe pahala flani
Lakini now days kuna vidonge mimba ikiwa katika early stages nipambania tatizoHapana kamanda. Hakuna uzembe. Hydrocephalus inaweza kumpata ye yote lakini ni kawaida kwa watoto na wazee 60+ yrs.
Mara nyingi wakimuona mtoto yuko hivi wanakupa option ya abortion kama unataka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani sina hata kimoja, halafu wanasema Mungu hana upendeleo