Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nina binti yangu huwa anaitumia sana njia hiyo. Akirudi likizo hadi akiondoka karibu robo ya vyombo vya nyumbani vinakuwa vimetupwa. Anadai eti ni vya zamani au ni vikuukuu lakini ukweli ni kwamba anakuwa anakwepa kuviosha baada ya kuvitumia.
Mwambie atupe na nguo 😄 🤣
 
1744429533463.jpg
 
Back
Top Bottom