Ukute jina lake huyu anaitwa Habiba au Zai 🤣🤣🤣
Hapo gari imefeli breki na inateremka kwenye mteremko mkali na mbele kuna msururu wa magari yanayokwenda na yanayokuja na katikati kuna daraja jembamba...
Waarabu pia wanakuwaga arosto?
Hiyo "you have who?" kwa kiswahili ni NYOOO!
Kama una hasira kali lazima huyo nyau mwenyewe ndio awe chakula leo.