Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ahaa duh kama ingekuwa bongo sipati picha hayo maselfii
 
Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewi
 
Unaonaje ukibadilisha hiyo ID yako? Kwa nini unajiita Kijana Masikini? Iondoe bana unless kama unaamini kuwa utabakia masikini daima!
Duh kwani linasikitisha sana?
Nimeifatilia jf mda mrefu sana kwenye kiswaswadu kinacho aplay operamini huku nikitamani kupata kifaa kitakacho niwezesha kujiunga na jf kwahiyo kwavile umasikini/uchache wa kipato umeniweka kando na jf muda mrefu acha tu nitumie hii ID mkuu.
 
Ina maana na simu zote hizi za mikopo bado unalalamika mambo ya simu?acha basi๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„fuata ushauri wa kaka
 
Ina maana na simu zote hizi za mikopo bado unalalamika mambo ya simu?acha basi๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„fuata ushauri wa kaka
Unaongea tu kwa vile unaona hivi watu tunavyovimba huku kwenye dunia ya bando hujiwi uhalisia wa memba mmoja mmoja. Hii ID inaakisi uhalisia wa laifu langu jamani.
SIBADILISHII NIUWENII.... NIUWENII.... NIUWENII...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ