Ngoja huo moto uzimike ndiyo atajua kuwa hajui. Choosing temporary comfort over permanent solutions. Dumb!
Huyu dogo wa Will Smith huyu sijui alipatwa na nini 😮😧
Inasemekana kuwa ilipita isikotakiwa Warusi wakadhani pengine ni li drone kutoka Ukraine wakafanya yao....
Imenichukua muda kuelewa. Kumbe umetumia aunties kwa maana ya mishangazi na siyo shangazi 😁