Ukitoka hapo shingo kama swala 🤣🤣🤣
Kama huyo wa Sasa niliyenae aisee kanibana kwenye plaiz hela zinatoka tuu bila ata kulazimishwaAkiingia kwenye anga za mwanamke lazima abananishwe tu😥😥
Ugumu wa mambo huwa unatufikirisha kuliko uwezo wetu 🤣🤣🤣Nwude alikamatwa kwa makosa ya kuuza uwanja wa ndege nchini Nigeria ambao haukuwepo kabisa.
Kuna watu ni Kiboko Mkuu, kuna Matapeli walitaka kumuuzia Mama mmoja toka Njombe pale Mnazi Mmoja. Sijui ilikuwaje lakini walimtoa upepo kidogo. Nadhani huwa wanakuwa na uwezo wa kuidhubaisha akili ya mtu.Ila huyu jamaa kiboko😂
View: https://youtube.com/shorts/rJ7okqJ0CDs?si=2SMzLatV9Sp0s0xY
Hapo veepee....
Mara ooh vimbaumbau hivii, ooh vimbaumbau vile.. haya sasa...
Mshindwe wenyewe...💃💃💃
Umenaswa bro🤣🤣🤣🤣Kama huyo wa Sasa niliyenae aisee kanibana kwenye plaiz hela zinatoka tuu bila ata kulazimishwa
Acha kabisa hwa viumbe hizi mbususu zao Zina maajabu yakeUmenaswa bro🤣🤣🤣🤣