Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1728605106014.jpg
 
Evelyn Salt tupe majibu maana wee chizi mwenzangu

Elimu ya mahaba inasema hivi...

Uke uliozoea kupata dudu ndogo au ya wastani, siku ikipata dudu kubwa ikanyanduliwa left right up down, akitoka hapo akaenda kupiga deki la kuinama lazima hewa itokee mbele...

Ila wenye utaalamu kwa kufinyia kwa ndani hawapati hiyo hali.
 
Bilionea wa India Ratan Tata ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 aliwahi kufichua kuwa alijaribu kupenda zaidi ya Wanawake wanne ambao alikaribia kuwaoa, lakini hakufanikiwa kwa kile alichodai kuwa ni kazi kuchukua sehemu kubwa ya muda wake pamoja na kufurahia uhuru wa kutokuwa na wasiwasi kuhusu hisia za mtu mwingine au mahangaiko ya mtu mwingine.

Tajiri huyo aliwahi kuhojiwa na CNN ambapo aliulizwa kwa nini hakuwahi kuoa na kufichua kuwa, “Msururu mzima wa mambo ulinizuia kuoa, muda, kazi kuchukua sehemu kubwa ya muda wangu kwa wakati huo. Nilikaribia kuoa wakati fulani, lakini haikuwezekana.”

“Kuna nyakati nyingi ambazo nilijihisi mpweke kwa sababu ya kutokuwa na mke au familia ingawa wakati fulani nilifurahia uhuru wa kutokuwa na wasiwasi kuhusu hisia za mtu mwingine au mahangaiko ya mtu mwingine” — alisema Tata alikiri kuwa kuwa kuna nyakati alikuwa mpweke kwa kukosa mke na familia.

Tata aliaga dunia siku ya Jumatano usiku baada ya kusumbuliwa ugonjwa wa muda mrefu. Alilazwa katika hospitali ya breach candy. Atapewa mazishi ya serikali na serikali ya Maharashtra.

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na pamoja na watu wengine mashuhuri kama Salman Khan, Ajay Devgn waliomboleza kifo cha Bilionea huyo.
 
IMG-20241012-WA0000.jpg
 
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌

View attachment 3122076
 
Attachments

  • IMG-20241012-WA0002.jpg
    IMG-20241012-WA0002.jpg
    51.1 KB · Views: 17
👀
 
Attachments

  • B768709C-78B4-4539-BFC1-72522D38CF4A.jpeg
    B768709C-78B4-4539-BFC1-72522D38CF4A.jpeg
    196.8 KB · Views: 18
👀
 
Attachments

  • 414137EF-A4D3-4208-96E8-E67C80783A90.jpeg
    414137EF-A4D3-4208-96E8-E67C80783A90.jpeg
    43 KB · Views: 14
👊Wanaume walikuwa kwenye semina, wakaulizwa.

"Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ilikuwa ni lini"?

Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.

Muwezeshaji akawaambia : kila mmoja sasa hivi amuandikie sms mkewe na kumtumia akimwambia kuwa : "nakupenda sana mke wangu".

Baada ya muda akakusanya simu zote na kuanza kusoma majibu ya meseji hizo.

Majibu yalikuwa hv :

1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. ??!! Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10.Nakupenda sana pia Mume Wangu
11. Nani mwenzangu?
Hiyo namba 11. Nani mwenzangu? 😄
 
Back
Top Bottom