Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Wapumbavu sana hawa wadudu kaka
Hii nilikua sijui
Hii inaitwa "Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana" 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 lasta kapatikanaHii inaitwa "Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana" 🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio maana kila mara huko kunatokea ajali