Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mtu anamwaga fedha hivi halafu unakuta mtoto wake chuo anakuja kusoma kwa mkopo wa serikali. Wasukuma amkeni nimeshashuhudia Baba anamwambia mtoto ukikosa mkopo sikupeleki chuo. Wakati Baba huyohuyo anamhonga hawara gari.